WATENDAJI WA HALMASHAURI ONGEZENI UBUNIFU-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji katika halmashauri zote nchini waongeze ubujifu na waanzishe miradi inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuviwezesha vikundi vinavyohitaji mikopo hiyo ili viweze kupata maendeleo.  Mheshimiwa Majaliwa alitoa kauli hiyo jana (Jumapili, Januari23, 2022) wakati akikabidhi pikipiki na guta kwa kikundi cha vijana kilichonufaika na